Header Ads

Responsive Ads Here

Wamiliki wa Machapisho Waendelea Kujitokeza Kuchukua Leseni


L1
Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO) na Msemaji Mkuu wa Serikali Dkt. Hassan Abbasi akimkabidhi Leseni ya Usajili wa machapisho mmiliki wa Gazeti la Hekaheka Dimbani Bw. Abdallah Menssah mara baada ya kukamilisha taratibu za usajili leo Jijini Dar es Salaam. Zoezi la utoaji wa Leseni kwa machapisho linafuatia utekelezaji wa kifungu namba 5(e) cha Sheria ya Huduma za Habari ya mwaka 2016.

L2
Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO) na Msemaji Mkuu wa Serikali Dkt. Hassan Abbasi (katikati) akiwaelezea jambo wamiliki wa Gazeti la Hekaheka Dimbani mara baada ya kuwakabidhi Leseni ya Usajili wa machapisho leo Jijini Dar es Salaam. Kulia ni  Abdallah Menssah na Mariam Said mara baada ya kukamilisha taratibu za usajili leo Jijini Dar es Salaam. Zoezi la utoaji wa Leseni kwa machapisho linafuatia utekelezaji wa kifungu namba 5(e) cha Sheria ya Huduma za Habari ya mwaka 2016.
Picha na: Idara ya Habari – MAELEZO

No comments