Header Ads

Responsive Ads Here

WAKAZI WA DAR ES SALAAM WAJITOKEZA KUFANYA USAFI COCO BEACH MAADHIMISHO YA USAFI WA FUKWE DUNIANI

Wakazi wa Dar es Salaam waliojitolea wakifanya usafi katika ufukwe wa Coco jijini humo wakati wa maadhimisho ya siku ya usafi wa fukwe duniani iliyoadhimiswa mwiahoni mwa wiki. Zoezi la usafi huo lilidhaminiwa na Benki ya FNB na wadhamini mbalimbali. (Imeandaliwa na Robert Okanda Blogspot)
Wakazi wa Dar es Salaam waliojitolea wakifanya usafi katika ufukwe wa Coco jijini humo wakionesha baadhi ya vikombe na medali walizopewa baada kushiri mchezo na kunogesha maadhimisho hao yaliyokwenda sanjari na siku ya usafi wa fukwe duniani iliyoadhimiswa mwiahoni mwa wiki. Zoezi la usafi huo lilidhaminiwa na Benki ya FNB na wadhamini mbalimbali. (Imeandaliwa na Robert Okanda Blogspot)

No comments