Header Ads

Responsive Ads Here

VIDEO:WAZIRI WA HABARI UTAMADUNI NA MICHEZO DR.MWAKYEMBE ATOA AGIZO KWA WANAOSIMAMIA UWANJA WA TAIFA


Waziri wa Habari Utamaduni na michezo DR Harrison Mwakyembe amewaagiza wanaosimamia Uwanja wa Taifa Kuhakikisha wanaitisha Zabuni ya Kimataifa Ili kuweza kumpata Mkandarasi atakayeweza kutoa Tiketi za Kielektroniki zitakazokuwa na number ya Siti za Kukaa kwa kila Mtazamaji wa Mpira.

No comments