Header Ads

Responsive Ads Here

VIDEO:WATOTO 39 WAJIUNGA NA VIKUNDI VYA UGAIDI MWANZA


Imeelezwa kuwa  kumekuwepo na tishio kubwa la vijana wanaorubuniwa na kuingia  kwenye makundi ya kigaidi ambapo katika kipindi cha Mwaka mmoja uliopita mkoa wa  Mwanza  umetoa vijana wapatao arobaini waliojiunga na vikundi  hivyo katika mikoa Lindi  na Mtwara
.
Hayo yamebainishwa na Mkuu wa upelelezi Mkoa wa Mwanza  Benjamin Kuzaga katika mkutano uliofanyika kata ya Pamba mtaa wa Bugarika uliokutanisha wananchi wa kata hiyo pamoja na Kamnda wa Polisi mkoa wa Mwanza  Ahmed Msangi.

No comments