Header Ads

Responsive Ads Here

VIDEO:UWANJA WA MAJIMAJI WA KARABATIWA NA CHAMA CHA MAPINDUZI MKOA WA RUVUMA


Uwanja wa MAJIMAJI ambao unamilikiwa na chama cha Mapinduzi mkoa wa Ruvuma CCM umefanyiwa malekebisho ili uweze kutumika vizuri katika mashindano mbalimbali ikiwemo ,ligi kuu ya Tanzania bara ambayo imeanza hivi karibuni.

No comments