Header Ads

Responsive Ads Here

VIDEO:NIMEPAMBANA, NITAENDELEA KUPAMBANA NA NITAHAKIKISHA TUNDURU INAKUWA JUU KIELIMU – DC JUMA HOMERA


Mkuu wa Wilaya ya Tunduru Mkoani Ruvuma Mh. Juma Zubery Homera amefanikiwa kwa kiasi kikubwa kutatua changamoto za madarasa,madawati,maabara na kuleta ufauru mzuri katika shule zote zilizopo katika wilaya yake. hayo ameyabainisha katika mahojiano maarumu na Ruvuma TV on line

No comments