Social Icons

b

b

w

w

.

Friday, September 15, 2017

VIDEO – WATU WA WILI WAMEUAWA NA POLISI MKOANI RUVUMA KATIKA MAJIBIZANO YA KURUSHIANA RISASI KATI YA POLISI NA WATU HAO


Jeshi la polisi Wilaya ya Tunduru mkoani Ruvuma limewaua watu wawili waisiojulikana kwa majina katika majibizano ya kurushiana risasi kati ya polisi na watu hao,Tukio hilo limetokea katika kijiji cha NANGURUKURU kata ya NANDEMBO tarafa ya NAMPUNGU .

No comments:

Post a Comment