Header Ads

Responsive Ads Here

VIDEO: MWINJILISTI KUTOKA MAREKANI AWASHA MOTO JIJINI MWANZA

Mamia ya wananchi wanazidi kujitokeza kwa wingi kwenye mkutano mkubwa wa injili ulioandaliwa na kanisa la kimataifa la EAGT Lumala Mpya kwenye uwanja wa Sabasaba Ilemela Jijini Mwanza. Mhubiri ni  mwinjilist Rojas Matias kutoka Marekani huku mchungaji mwenyeji akiwa ni Dkt.Daniel Moses Kulola.No comments