Header Ads

Responsive Ads Here

VIDEO- BREAKING NEWS:WATU WAWILI WAMEFARIKI DUNIA KATIKA AJALI YA GARI WILAYA YA NAMTUMBO MKOANI RUVUMA


Watu wa wili wamefariki dunia katika ajali ya gari aina ya loli lenye namba za usajili  T782 CMC katika kijiji cha  Utwango. Barabara ya Songea – Namtumbo . Wilaya ya Namtumbo Mkoani Ruvuma.  Waliofariki ni dereva wa Gari hilo ambaye bado hajafahamika jina lake mwingine ni kondakta wa gari hilo aliyejulikana kwa jina la  Abiud Daudi

No comments