Header Ads

Responsive Ads Here

VIDEO – ANASAKWA NA POLISI KWA KOSA LA KUTAKA KUMFUKIA MTOTO WAKE BAADA YA KUJIFUNGUA


Jeshi la Polisi Wilayani MBINGA linamtafuta binti mmoja mwenye umri wa miaka 16 ambaye jina lake limehifadhiwa kwa kosa la kutaka kumfukia mtoto wake mchanga anayekadiriwa kuwa na umri wa siku moja.

No comments