Header Ads

Responsive Ads Here

Tigo yaleta mageuzi ya elimu Mkoani Tabora Yatoa msaada wa mfumo wa elimu kwa njia ya mtandao kwa shule mbili za sekondari Tabora


GWA1
Meneja wa Tigo kanda ya ziwa kusini, Gwamaka Mwakilembe akizungumza na waandishi wa habari na wanafunzi wa shule ya wasichana Tabora kabla ya makabidhiano ya huduma ya
intaneti ya Tigo kwenye shule hiyo
GWAMwalimu mkuu wa shule ya wasichana ya Tabora, Lydia Mwampamba akizungumza na waandishi wa habari na wanafunzi wa shule ya wasichana Tabora kabla ya makabidhiano ya huduma ya intaneti ya Tigo kwenye shule hiyo
GWA2
Kaimu Katibu Tawala mkoa Tabora, Nathalis Linuma akizungumza na waandishi wa habari na
wanafunzi wa shule ya wasichana Tabora kabla ya makabidhiano ya huduma ya
intaneti ya Tigo kwenye shule hiyo
GWA4
Kaimu Katibu Tawala mkoa Tabora, Nathalis Linuma akikata utepe kuzindua huduma ya Tigo eSchool shule ya sekondari wasichana Tabora. Kulia mkuu wa shule, Lydia Mwampamba , kushoto Afisa elimu mkoa, Suzana Nyarubamba na nyuma Meneja wa Tigo kanda ya ziwa kusini, Gwamaka Mwakilembe

No comments