Header Ads

Responsive Ads Here

TBL GROUP NDANI YA MASHINDANO YA MBUZI 2017


TBL MBUZI 1
Baadhi ya washiriki wakishindanisha mbuzi wakati wa mashindano hayo ambayo kampuni ya TBL kupitia Bia yake ya Kilimanjaro ilikuwa mmoja wa wadhamini.

TBL MBUZI 4
Mkurugenzi wa Masoko wa TBL Group, Thomas Kamphuis ,akikabidhi  hundi ya laki sita kwa kiongozi wa timu ya waandaaaji wa mashindano ya mbuzi Danielle Fanning  ,(kushoto) ni Afisa Mwandamizi kutoka kitengo cha Masoko TBL Group,George Kavishe.
TBL MBUZI 6
TBL ilitoa zawadi kwa  watendaji mbalimbali waliofanikisha mashindano hayo,katikati ni Meneja wa Kilimanjaro,Pamela Kikuli
…………………………………
Kampuni ya TBL Group kupitia Bia yake ya Kilimanjaro mwaka huu imekuwa mmoja wa wadhamini wa mashindano ya mbuzi yaliyofanyika jijini Dar es Salaam ambayo yalilenga  kukusanya fedha kwa ajili ya kusaidia changamoto mbalimbali za kijamii.
Mbali na udhamini baadhi ya wafanyakazi wa TBL Group walihudhuria  mashindano hayo yaliyofanyika katika viwanja vya The Green vilivyopo barabara ya Kenyatta,Oysterbay jijini Dar es Salaam.

No comments