Header Ads

Responsive Ads Here

Tanzania kuwa Mwenyeji wa Mkutano wa Chama cha Majaji na Mahakimu wa Jumuiya ya Madola.


Pix 01
Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe. Prof. Ibrahim Juma akifafanua jambo kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusu mkutano wa kumi wa Chama cha Majaji na Mahakimu wa Jumuiya ya Madola utakaofanyika tarehe 25 Septemba hadi tarehe 27 Septemba mwaka huu jijini Dar es Salaam, kushoto ni Jaji Kiongozi Mhe. Ferdinand Wambali.

Pix 02
Jaji Kiongozi Mhe. Ferdinand Wambali akisisitiza jambo kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusu mkutano wa kumi wa Chama cha Majaji na Mahakimu wa Jumuiya ya Madola utakaofanyika tarehe 25 Septemba hadi tarehe 27 Septemba mwaka huu jijini Dar es Salaam, kulia ni Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe. Prof. Ibrahim Juma.
Pix 03b
Rais wa Chama cha Majaji na Mahakimu nchini Mhe. Ignas Katusi akifafanua jambo kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusu mkutano wa kumi wa Chama cha Majaji na Mahakimu wa Jumuiya ya Madola utakaofanyika tarehe 25 Septemba hadi tarehe 27 Septemba mwaka huu jijini Dar es Salaam, katikati ni Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe. Prof. Ibrahim Juma na kushoto ni Jaji Kiongozi Mhe. Ferdinand Wambali.
Pix 04
Baadhi ya waandishi wa habari wakimsikiliza Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe. Prof. Ibrahim Juma (hayupo pichani) wakati akitoa taarifa kuhusu mkutano wa kumi wa Chama cha Majaji na Mahakimu wa Jumuiya ya Madola utakaofanyika tarehe 25 Septemba hadi tarehe 27 Septemba mwaka huu jijini Dar es Salaam.
Picha na Eliphace Marwa – Maelezo

No comments