Header Ads

Responsive Ads Here

TANGA CEMENT YATOA MIFUKO YA SARUJI 660 KWA AJILI YA UJENZI WA KITUO CHA AFYA MAJENGO KOROGWE NA MAABARA KATA YA MLALO LUSHOTO MKOANI TANGA

 Afisa Uhusiano wa Simba Cement Noor Mtanga kushoto akimkabidhi mifuko 500 ya Saruji Mkurugenzi wa Halmashauri ya Korogwe Mji,Jumanne Shauri kulia kwa ajili ya ujenzi wa kituo cha Afya Majengo Jijini Tanga ikiwa ni kuunga mkono kusaidia sekta ya afya nchini kulia ni Mganga Mkuu wa Halmashauri ya Mji wa Korogwe,Dokta Elizaberth Nyema katikati ni Katibu Tawala wa wilaya ya Korogwe (DAS) Rehema Bwasi
Afisa Uhusiano wa Simba Cement Noor Mtanga kushoto akimkabidhi mifuko 500 ya Saruji Mkurugenzi wa Halmashauri ya Korogwe Mji,Jumanne Shauri kulia kwa ajili ya ujenzi wa kituo cha Afya Majengo Jijini Tanga ikiwa ni kuunga mkono kusaidia sekta ya afya nchini kushoto ni 
Meneja Usambazaji wa Kampuni ya Saruji ya Simba Cement,Samuel Shoo
 Meneja Usambazaji wa Kampuni ya Saruji ya Simba Cement,Samuel Shoo kushoto akimkabidhi Mifuko 500 ya Saruji Katibu Tawala wa wilaya ya Korogwe (Das) Rehema Bwasi kwa ajili ya ujenzi wa kituo cha Afya cha Majengo wilayani humo wanaoshuhudia wa kwanza kulia ni Mkurugenzi wa Korogwe Mji,Jumanne Shauri ,Mganga Mkuu wa Halmashauri ya Mji Korogwe,Dkt Elizaberth Nyema wa pili kutoka kushoto ni Afisa Uhusiano wa Simba Cement Noor Mtanga 

 Meneja Ubora wa Kampuni ya Saruji ya Simba Cement,Samuel Shoo kushoto akimkabidhi mifuko ya saruji 160 Afisa Mtendaji wa Kata ya Mlalo kwa ajili ya Ujenzi wa Maabara katika Kata hiyo ikiwa ni kuunga mkono juhudi za kuinua elimu hapa nchiniwanaoshudhia ni  Afisa Uhusiano wa Simba Cement Noor Mtanga 

 Muonekano wa Saruji ambayo imekabidhiwa leo na Kiwanda cha Simba Cement kwa ajili ya Ujenzi wa Kituo cha Afya Korogwe Mji na Ujenzi wa Maabara katika shule mbalimbali za sekondari Jimbo la Mlalo wilayani Lushoto mkoani Tanga katika halfa iliyofanyika kiwandani hapa 

No comments