Header Ads

Responsive Ads Here

TAARIFA KUTOKA KLABU YA SIMBA


KLABU ya Simba inapenda kuwataafiru waandishi wote wa habari za michezo kuwa leo hakutakuwa na mkutano na waandishi wa habari kama mlivyotaarifiwa wiki iliyopita.
Hii nikutokana na Mkuu wa kitengo cha Habari na mawasiliano wa klabu kuambatana na timu kanda ya ziwa kwa ajili ya michezo ya Ligi Kuu.
Hivyo Klabu inawaomba radhi kwa usumbufu wote mlioupata lakini pia kwa kuchelewa kuipata taarifa hii kwa wakati.
Aidha idara ya habari na mawasiliano ya klabu inawataka waandishi wote kuuzingatia utaratibu huu wa Press kila Jumatatu kuanzia wiki ijayo ambapo kutakuwa na mengi ya kuzungumza nanyi.
Imetolewa na Mkuu wa idara ya habari na mawasiliano

Haji .S Manara
Simba Nguvu Moja..!!!

No comments