Header Ads

Responsive Ads Here

STORM FM YASHEREKEA MIAKA MITATU TANGU KUANZISHWA KWA KUWAKUTANISHA WADAU WA SOKA GEITA


Timu ya Storm fm  FC wakijiandaa kuingia uwanjani kwaajili ya mchezo wa kirafiki na timu ya wakogwe wa Mpira Lwamgasa  katika Mchezo huo Timu ya Lwamgasa iliweza kuibuka mshindi kwa gori tatu kwa bila  na kujitwalia kiasi cha Shilingi laki moja.
Sherehe ya kukata keki na kushereke Miaka mitatu Tangu kuanzishwa kwa kituo hicho zikiendelea na kuongozwa na Meneja wa Storm fm Modestar Mselewa.

Shamla shamla zikiendelea kwenye chumba cha kuandalia habari.

Wafanyakazi wakifurahia kutimiza miaka mitatu ya kuendelea kuhabarisha uma,kuburudisha na kutoa Elimu.


Meneja wa Storm Fm Modestar Mselewa akigawa keki kwa wafanyakazi wakati wa sherehe za miaka mitatu tangu kuanzishwa kwa Storm fm.
Timu zote mbili zikiingia uwanjani kwaajili ya kusakata kabumbu.
Timu ya Wakongwe wa Lwamgasa wakiwa kwenye picha ya Pamoja.

Timu ya Storm Fc wakiwa kwenye mazungumzo wakati walipokuwa wakijiandaa na mpira kwenye viwanja vya Lwamgasa.Wananachi ambao walijitokeza kufuatilia Mtonange baina ya Wakongwe wa Lwamgasa na Storm FC.  
PICHA NA MADUKA ONLINE

No comments