Header Ads

Responsive Ads Here

SportPesa Yatoa Cheti cha Shukrani kwa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki


Pic 1
Naibu Waziri Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Dkt. Sussan Kolimba (kushoto) akisalimiana na Menaja Mahusiano na Masoko kutoka Kampuni ya SportPesa Bibi. Sabrina Msuya (kulia) leo Mjini Dodoma alipoenda kukabidhi Cheti cha Shukrani kwa Wizara hiyo kwa kufanikisha ujio wa Timu ya Evaton nchini wakati wa mashindano ya SportPesa mapema mwaka huu.

Pic 2
Naibu Waziri Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Dkt. Sussan Kolimba (kushoto) akiongea na Menaja Mahusiano na Masoko kutoka Kampuni ya SportPesa Bibi. Sabrina Msuya leo Mjini Dodoma alipoenda kukabidhi Cheti cha Shukrani kwa Wizara hiyo kwa kufanikisha ujio wa Timu ya Evaton nchini wakati wa mashindano ya SportPesa mapema mwaka huu.
Pic 3
Naibu Waziri Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Dkt.Sussan Kolimba (kushoto) akipokea cheti cha Shukrani kutoka kwa Menaja Mahusiano na Masoko wa Kampuni ya SportPesa Bibi. Sabrina Msuya (kulia) leo Mjini Dodoma alipoenda kukabidhi Cheti cha Shukrani kwa Wizara hiyo kwa kufanikisha ujio wa Timu ya Evaton nchini wakati wa mashindano ya SportPesa mapema mwwaka huu.
Picha na Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa

No comments