Header Ads

Responsive Ads Here

SHIRIKA LA FOUNDATION FOR TOMORROW YATOA ZAWADI YA FEDHA MASHULENI


 Mkurugenzi wa shirika la Foundation for Tomorrow Melissa Queyquep akizungumza na wanafunzi wa shele ya Sekondari Naura juzi jijini Arusha baada ya shirika hilo kudhamini shindano la kuwasaka wanafunzi bora katika masomo ya Sayansi,Hesabu na Mawasiliano.

Meneja Mafunzo ya stadi za Maisha Hilda Lema kutoka shirika la Foundation for Tomorrowa kulia akiwa katika picha ya pamoja mara baaada ya kumkabidhi mwanafunzi wa shule ya sekondari Arusha day zawadi ya fedha na cheti baada ya kuibuka mshindi katika shindano la kuwatafuta
wanafunzi bora katika masomo ya Sayansi,Hesabu na Mawasiliano
Mkuu wa wa shule ya Sekondari Lemara Mkoani Arusha Risala S. Juma akiwa katika picha ya pamoja na mwanafunzi wake wa kike kidato cha Nne shule ya Sekondari Lemara Victoria Kira aliyefanya vizuri katika somo la Sayansi


No comments