Header Ads

Responsive Ads Here

SHEREHE ZA UFUNGUZI WA SHULE YA AWALI NA MSINGI YA NAZARETH WILAYANI MVOMERO, MOROGORO


PC 1
Mkurugenzi wa Shule ya kutwa ya Awali na Msingi ya Nazareth,  Askofu John Masawe, akiowaonesha wazazi na wageni waalikwa cheti cha usajili wa shule hiyo kwenye sherehe za ufunguzi  illiyofanyika shuleni hapo katika  kijiji cha Msufini,  tarafa na wilaya  ya Mvomero mkoani Morogoro jana.

PIC 3
Wanafunzi wa shule ya Awali na msingiya Nazareth wakicheza ngoma wakati sherehe za ufunguzi wa shule hiyo.
PICS 2
Mgeni rasmi, Afisa Elimu wa kata ya Hembeti, Kikuli, akitoa neno wakati wa sherehe za ufunguzi wa Shule ya Msingi na Awali ya Nazareth katika Tarafa  na wilayani  ya Mvomero mkoani Morogoro jana.
PICS 4
Wanafunzi wa shule ya Awali na msingiya Nazareth wakicheza ngoma wakati sherhr za ufunguzi wa shule hiyo.
PICS 5
Wazazi na wanafunzi wa Shule ya kutwa ya Awali na Msingi ya Nazareth wakipata Msosi katika sherehe za ufunguzi wa shule hiyo
PICS 6
Uongozi shule  Nazareth wakiwa makini kumsikiliza mgeni rasmi katika halfa ya ufunguzi wa Shule
PICS 7
Mhasibu wa Shule ya Nazareth,  Mchungaji  Rafael Hango (kushoto) Meneja wa Shule hiyo, Samweli Msengi, wakiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wanafunzi wa shule hiyo kwenye hafla ya ufunguzi rasmi wa shule hiyo ambayo imepata usajili hivi karibuni.

No comments