Header Ads

Responsive Ads Here

SHEREHE ZA ELIMU BILA MALIPO MKOA WA KUSINI PEMBA-GOMBANI 2


DSC_8039
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akipokea maandamano ya wananfunzi wa Skuli mbali mbali za Zanzibar katika kilele cha Elimu Bila malipo kwa Kutimiza miaka 53 katika uwanja wa Gombani Mkoa wa Kusini Pemba leo,[Picha na Ikulu.] 23/09/2017.

DSC_8048
Wanafunzi wa Skuli za Mkoa wa Kusini Unguja wakipita kwa maandamano,wakibeba bango linalotioa ujumbe uanosema “Tushirikiane kupiga Vita Ukatili na Udhalilishaji wa Wanawake na Watoto ni Jukumu letu Sote”katuika uwanja wa Gombani Wilaya ya Chakere chake katika Tamasha la Elimu bila malipo kwa kutimiza miaka 53 mwaka 2017. [Picha na Ikulu.] 23/09/2017.
DSC_8054
Wanafunzi wa Laureate Int. School Pemba wakipita kwa maandamano mbele ya mgeni rasmi Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) katika Sherehe za Tamasha la Elimu Bila Malipo leo katika Uwanja wa Gombani Wilaya ya Chake chake Mkoa wa Kusini Pemba,ambapo Viongozi wa Taasisi mabli mbali Serikali walihudhuria, [Picha na Ikulu.] 23/09/2017.
DSC_8163
Baadhi ya Wananchi na Wanafunzi wakiwa katika sherehe za Elimu Bila malipo zilizofanyika leo katika Uwanja wa Gombani Wilaya ya Chakechake Mkoa wa Kusini Pemba katika kilele cha kutimiza miaka 53 ,sherehe za michezo mbalo mbali zilifanyika kwa wanafunzi wa Maskuli mbali mbali,[Picha na Ikulu.] 23/09/2017.
DSC_8165
Baadhi ya Wananchi na Wanafunzi wakiwa katika sherehe za Elimu Bila malipo zilizofanyika leo katika Uwanja wa Gombani Wilaya ya Chakechake Mkoa wa Kusini Pemba katika kilele cha kutimiza miaka 53 ,sherehe za michezo mbalo mbali zilifanyika kwa wanafunzi wa Maskuli mbali mbali,[Picha na Ikulu.] 23/09/2017.
DSC_8170
Wanafunzi wakiimba wimbo maalum  katika sherehe za Tamasha la Elimu Bila malipo kwa kutimiza miaka 53 katika Uwanja wa Gombani Wilaya ya Chake chake Mkoa wa Kusini Pemba leo,mgeni rasmi akiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani),[Picha na Ikulu.] 23/09/2017.
DSC_8227
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Mhe.Riziki Pem,be Juma alipokuwa akizungumza na kumkaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani)ili kuzungumza nha wananchi na Wanafunzi katika sherehe za Tamasha la Elimu bila Malipo kwa kutimiza miaka 53 katika Uwanja wa Gombani Wilaya ya Chakechake Mkoa wa Kusini Pemba leo,[Picha na Ikulu.] 23/09/2017.

No comments