Header Ads

Responsive Ads Here

SHEIKH MUHAMMAD IDDI MUHAMMAD AONGOZA SWALA YA IDDI AL AD'HAA MSIKITI WA BUGURUNI MNYAMANI JIJINI DAR ES SALAAMVijana, waumini wa Dini ya Kiislamu wa Msikiti wa Buguruni Mnyamani, wakiwa kwenye viwanja vya msikiti huo, kwa ajili ya Swala ya Iddi Al Ad'haa, iliyoongozwa na Imam Mkuu wa msikiti huo, Sheikh Muhammad Iddi Muhammad, jijini Dar es Salaam leo.(Picha zote na KassimMbarouk-www.bayana.blogspot.com)
Vijana, waumini wa Dini ya Kiislamu wa Msikiti wa Buguruni Mnyamani, wakijiandaa kwa Swala ya Iddi Al Ad'haa, kwenye viwanja vya msikiti huo, Swala iliyoongozwa na Imam Mkuu wa msikiti huo, Sheikh Muhammad Iddi Muhammad, jijini Dar es Salaam leo. 
Waumini wa Dini ya Kiislamu wa Msikiti wa Buguruni Mnyamani, wakiwa kwenye Swala ya Iddi Al Ad'haa, viwanja vya msikiti huo, katika Swala iliyoongozwa na Imam Mkuu wa msikiti huo, Sheikh Muhammad Iddi Muhammad, jijini Dar es Salaam leo. 
Waumini wa Dini ya Kiislamu wa Msikiti wa Buguruni Mnyamani, wakifuatilia hotuba ya Swala ya Iddi Al Ad'haa, kwenye viwanja vya msikiti huo, wakati wa swala hiyo, iliyoongozwa na Imam Mkuu wa msikiti huo, Sheikh Muhammad Iddi Muhammad, jijini Dar es Salaam leo. 
Imam Mkuu wa Msikiti wa Buguruni Mnyamani, Sheikh Muhammad Iddi Muhammad, akitoa nasaha zake kwa waumini wa Dini ya Kiislamu wa msikiti huo, mara baada ya Swala na hotuba ya swala ya Iddi Al Ad'haa, msikitini hapo, jijini Dar es Salaam leo. 
Waumini wakimsikiliza Imam Mkuu wa Msikiti huo, Sheikh Muhammad Iddi Muhammad, wakati akitoa nasaha zake baada ya kumalizika Swala na hotuba ya swala ya Iddi Al Ad'haa, msikitini hapo, jijini Dar es Salaam leo. 
Imam Mkuu wa Msikiti wa Buguruni Mnyamani, Sheikh Muhammad Iddi Muhammad, akitoa nasaha kwa waumini mara baada ya Swala ya Iddi Al Ad'haa, msikitini hapo, jijini Dar es Salaam leo.  
Imam Mkuu wa Msikiti wa Buguruni Mnyamani, Sheikh Muhammad Iddi Muhammad, akitoa nasaha kwa waumini. 
Imam Mkuu, Sheikh Muhammad Iddi Muhammad, akitoa nasaha kwa waumini msikitini hapo, jijini Dar es Salaam leo. 
Waumini wakiwa kwenye msikiti huo, wakisikiliza nasaha zilizokuwa zikitolewa na Imam Mkuu wa msikiti huo, Sheikh Muhammad Iddi Muhammad, jijini Dar es Salaam leo.  
Waumini wakitakiana heri ya Siku kuu ya Iddi Al Ad'haa, mara baada ya Imam Mkuu wa msikiti huo, Sheikh Muhammad Iddi Muhammad, kumaliza kutoa nasaha zake. 
Waumini wakipiga picha za kumbukumbu na Imam Mkuu wa msikiti huo, Sheikh Muhammad Iddi Muhammad (wa pili kushoto), mara baada ya kumaliza swala ya Iddi, hotuba na nasaha.
Waumini wakipiga picha za kumbukumbu na Imam Mkuu wa msikiti huo, Sheikh Muhammad Iddi Muhammad (katikati), mara baada ya kumaliza swala ya Iddi, hotuba na nasaha. 
Waumini wakipiga picha za kumbukumbu na Imam Mkuu wa msikiti huo, Sheikh Muhammad Iddi Muhammad (katikati), mara baada ya kumaliza swala ya Iddi, hotuba na nasaha.  

No comments