Header Ads

Responsive Ads Here

REPSSI YAKUTANA NA WAANDISHI WA HABARI NA KUTOA MAFUNZO JUU YA UANDISHI WA HABARI ZA WATOTO


 Mwandishi kutoka Lesstho Kerato Matheka kutoka Gazeti la Public Eye akielezea jinsi chombo chao kinavyowapa nafasi watoto katika kuelezea mambo yao na kuoigania hazi zao katika mkutano kati ya shirika la REPSSI na waandishi wa habari Jijini Arusha.
 Mtaalamu Mwelekezi kutoka Shirika la REPSSI Bi. Carmel Gaillard akijibu hoja mbalimbali kutoka kwa waandishi wa habari kuhusu masuala  ya watoto na junsi ya kuandika na kuripoti habari kuhusu watoto katika mkutano kati ya shirika la REPSSI na waandishi wa habari Jijini Arusha.
 Mkurugenzi kazi wa Shirika la REPSSI nchini Zambia Bw. Kelvin Ngoma akitoa ufafanuzi kwa wawakilishi wa vyombo vya habari kutoka Tanzania na nje ya nchi Jijini Arusha kuhusu nafasi ya vyombo vya habari kuandika habari kuhusu watoto na kushawishi mabadiliko chanya ya Sera, na Programu mbalimbali katika jamii.
Baadhi ya waandishi wa Habari kutoka Tanzania na nje ya nchi wakimsikiliza Mkurugenzi kazi wa Shirika la REPSSI nchini Zambia bw. Kelvin Ngoma(hayupo Pichani) akitoa ufafanuzi kwa wawakilishi wa vyombo vya habari kutoka Tanzania na nje ya nchi Jijini Arusha kuhusu nafasi ya vyombo vya habari kuandika habari kuhusu watoto na kushawishi mabadiliko chanya ya Sera, Programu mbalimbali na jamii Kwa ujumla.
 Mwandishi kutoka Zambia Margaret Samulela kutoka gazeti la Daily Mail akiuliza swali kwa mwezeshaji mwelekezi kutoka Shirika la REPSSI kuhusu masuala mablimbali ya watoto katika mkutano kati ya shirika la REPSSI na waandishi wa habari Jijini Arusha.
Mwandishi kutoka Malawi Jacob Nankhonya kutoka National Publications akichangia hoja kuhusu uandishi wa habari za watoto katika mkutano kati ya shirika la REPSSI na waandishi wa habari Jijini Arusha. Picha na KItengo cha Mawasiliano Serikalini WAMJW

No comments