Header Ads

Responsive Ads Here

RAIS DK,SHEIN AWAONGOZA WAUMINI WA DINI YA KIISLAM KATIKA IBADA YA SWALA YA IDI AL ADH-HA,DIMANI MAGHARIBI B UNGUJA


DSC_0055
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk Ali Mohammed Shein kushoto  akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Ayuob Mohammed Mahmoud mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Dimani kwa ajili ya kuswali swala ya Idi Al Adh-ha Wilaya ya magharibi B Unguja.

DSC_0072
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk Ali Mohammed Shein wapili kushoto  akijumuika pamoja na waumini mbalimbali wa Dini ya Kiislamu katika Ibada ya  swala ya Idi Al Adh-ha ilioswaliwa Kitaifa Dimani   Wilaya ya magharibi B Unguja.
DSC_0077
Baadhi ya Viongozi mbalimbali waliohudhuria katika ibada ya  swala ya Idi Al Adh-ha ilioswaliwa Kitaifa Dimani   Wilaya ya magharibi B Unguja.
DSC_0087
Baadhi ya Wananchi mbalimbali  waliohudhuria katika ibada ya  swala ya Idi Al Adh-ha ilioswaliwa Kitaifa Dimani   Wilaya ya magharibi B Unguja
DSC_0097
Baadhi ya Wananchi mbalimbali  waliohudhuria katika ibada ya  swala ya Idi Al Adh-ha ilioswaliwa Kitaifa Dimani   Wilaya ya magharibi B Unguja.
PICHA NA YUSSUF SIMAI/MAELEZO ZANZIBAR.

No comments