Header Ads

Responsive Ads Here

RAIS DK. JOHN POMBE MAGUFULI AMUAPISHA JAJI MKUU WA TANZANIA MH. PROFESA IBRAHIM JUMA


1
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli akimuapisha Jaji Mkuu wa Tanzania Mh. Profesa Ibrahimu Khamis Juma Ikulu Jijini Dar es salaam leo Septemba 11/2017 Katikati ni Katibu Mkuu Kiongozi Mh. Balozi John Kijazi. (PICHA NA JOHN BUKUKU-FULLSHANGWE-DAR ES SALAAM)
2
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli akimkabidhi vitendea kazi mara baada ya kumuapisha Jaji Mkuu wa Tanzania Mh. Profesa Ibrahimu Khamis Juma Ikulu Jijini Dar es salaam leo Septemba 11/2017 Katikati ni Katibu Mkuu Kiongozi Mh. Balozi John Kijazi.
3
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli akizungumza mara baada ya kumuapisha Jaji Mkuu wa Tanzania Mh. Profesa Ibrahimu Khamis Juma Ikulu Jijini Dar es salaam leo Septemba 11/2017 Katikati ni Makamu wa aliwa Rais Mh. Samia Suluhu Hassan na kushoto ni Mh. Waziri Mkuu Kassim Majaliwa.
4
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli akimpongeza  Jaji Mkuu wa Tanzania Mh. Profesa Ibrahimu Khamis Juma Ikulu Jijini Dar es salaam leo Septemba 11/2017 baada ya kuapishwa kuwa Jaji Mkuu.
5
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na Makamu wa Rais Mh. Samia Suluhu Hassan na Waziri Mkuu Mh. Kassim Majaliwa mara baada ya kumuapisha Jaji Mkuu wa Tanzania Mh. Profesa Ibrahimu Khamis Juma wa tatu kutoka kulia Ikulu Jijini Dar es salaam leo Septemba 11/2017 Kutoka kulia ni Jaji Mkuu Mstaafu Othman Mohamed Chande, Spika wa Bunge Mh. Job Ndugai na kutoka kushoto ni Waziri wa Katiba na Sheria Profesa Palamagamba Kabudi.
6
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na  majaji wa wa Mahakamu kuu ta Tanzania na Mahakama ya Rufaa.
7
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama.
8
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na wakuu wa Taasisi za Sreikali.
9
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja namajaji wastaafu.
10
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja naviongozi wa mkoa wa Dar es salaam.
11
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na Jaji Mkuu wa Tanzania Mh. Prifesa Ibrahim Khamis Juma na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Mh. Job Ndugai.
12
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na Familia ya Jaji Mkuu a Prifesa Ibrahim Khamis Juma.
13
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli akimpongeza Jaji Mkuu Profesa Ibrahim Juma.
14
Baadhi ya Majaji waliohudhuria katika hafla hiyo
15
Baadhi ya viongozi mbalimbali wa serikali na dini wakiwa katika hafla hiyo
17
Waziri wa Katiba na Sheria Profesa Palamagamba Kabudi akijadiliana jambo na Jaji Mkuu Mstaafu Jaji Othman Chande na Mwanasheria Mkuu wa Serikali Mh. George Masaju
18
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro akisalimiana na Kamanda wa Kikosi cha Zimamoto Kamanda Thobias Andengenye
19
MKuu wa Majeshi ya Ulinzi Jenerari Venance Mabeyo akisalimiana na IGP Saimon Sirro wakati walipokutana Ikulu katika hafla ya kumuapisha Jaji Mkuu wa Tanzania Profesa Ibrahim Juma.
20
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam akisalimiana na baadhi ya wakuu vyombo vya ulinzi na usalama.

No comments