Header Ads

Responsive Ads Here

Naibu Waziri Dkt. Kolimba Atembelewa na Viongozi wa Chama cha Wasioona Tanzania


Pix 1
Naibu Waziri Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Dkt.Sussan Kolimba (kushoto) akifafanua jambo kwa wajumbe kutoka chama cha Wasiiona Tanzania walipomtembelea ofisini kwake leo Mjini Dodoma. Katikati ni Mwenyekiti wa Chama hicho Bw. Robert Bundala na Mweka Hazina Dkt. Batista Mgumba (kulia).

Pix 2
Naibu Waziri Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Dkt. Sussan Kolimba (katikati) akiwa katika picha ya pamoja  na  wajumbe kutoka chama cha Wasioona Tanzania baada ya mazungumzo ya kiofisi leo Mjini Dodoma.
Picha na Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa

No comments