Header Ads

Responsive Ads Here

MUENDELEZO MATUKIO YA PICHA KIKAO CHA KAMATI KUU YA CCM JIJINI DAR ES SALAAM JANA


c1
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wa Kamati Kuu ya CCM baada ya kikao chao jijini Dar es salaam leo September 27, 2017

c2
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Dkt. John Pombe Magufuli akibadilishana mawazo na Waziri Mkuu Mstaafu Dkt Salim ahmed Salim baada ya kupiga picha ya pamoja na wajumbe wa Kamati Kuu ya CCM baada ya kikao chao jijini Dar es salaam leo September 27, 2017
c3
Waziri Mkuu Mhe Kassim Majaliwa akisalimiana na Waziri Kiongozi wa Zanzibar Mstaafu Mhe. Naohodha baaya ya kikao cha Kamati Kuu ya CCM  jijini Dar es salaam leo September 27, 2017. Kushoto ni Naibu Katibu Mkuu wa CCM (Visiwani) Dkt. Abdalla Juma Sadala ‘Mabodi’
c4
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Dkt. John Pombe Magufuli  pamoja na wajumbe wa Kamati Kuu ya CCM wakiondoka ukumbini  baada ya kikao chao jijini Dar es salaam leo September 27, 2017
c5
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na baadhi ya wajumbe wa Kamati Kuu ya CCM baada ya kikao chao jijini Dar es salaam leo September 27, 2017
Picha na IKULU

No comments