Header Ads

Responsive Ads Here

Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi Wanyamapori Tanzania Dkt.James Wakibara atembelea ofisi za KDU-Bunda


Kaimu Mku rugenzi Mkuu wa TAWA Dkt. James Wakibara anendelea na mpango wake wa kutembelea vituo na kuongea na wafanyakazi wa TAWA nchini.

Katika Ujumbe wake alipotembelea na kuongea na Watumishi wa KDU Kanda ya Serengeti, Dkt James Wakibara amewahimiza watumishi wote nchini juu “umuhimu na ulazima wa mabadiliko ya kiutendaji kutoka walipokuwa Idara ya Wanyamapori na sasa Mamlaka ya Wanyamapori nchini.
Mkurugenzi Mkuu (wa tatu kutoka kushoto)akiwa katika picha ya pamoja na watumishi wa KDU-Kanda ya Serengeti na pori la Kijereshi

Pichani chini ni matukio mbalimbali yaliyojiri wakati Bw. Dkt.James Wakibara akiwa ziarani.


Dr James Wakibara akipokea taarifa ya utekelezaji wa shughuli kutoka kwa kaimu Meneja wa Pori la Akiba Kijereji lililopo wilaya ya Busega Mkoa wa Simiyu”

Mkurugenzi Mkuu wa TAWA akiongea na Watumishi wa KDU Kanda ya Serengeti

Watumishi wa KDU Serengeti wakimsikiliza Mkurugenzi Mkuu wa TAWA
Imeandaliwa na Afisa Habari na Mahusiano wa TAWA Bw. Twaha Twaibu.

No comments