Header Ads

Responsive Ads Here

MHESHIMIWA KUBENEA AFIKISHWA MBELE YA KAMATI


Kamati ya Bunge ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge, imeahirisha kumuhoji Mbunge wa J imbo la Ubungo, Mhe. Saed Kubenea kutokana na kufika mbele y Kamati hiyo akiwa mgonjwa.

Mhe. Kubenea alifika mbele ya Kamati majira ya saa 4 asubuhi akiwa katika baiskeli ya wagonjwa ya miguu minne (Wheel chair) chini ya ulinzi wa Askari wa Jeshi la polisi.
Akizungumzia katika kiao hicho, Mwenyekiti wa Kamati ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge, Mhe. Kapteni Mstaafu George Mkuchika alisema kamati hiyo imekutana kutokana na kuletewa shauri na Mhe. Spika la kumuita Mbunge huyo kwa madai ya kudharau mamlaka ya Spika kwa kauli alizozitoa   katika kanisa moja Jijini Dar es Salaam.
“KamatiyaHaki, MaadilinaMadarakaya Bunge inakutanapale inapoletewashaurinaMhe. Spika, tumeletwamashauriyaMhe.Kubenea, yakudharauMamlakayaSpikakwakauliambazoamezitoakatikakanisa la huko Dar Es Salaam,” alisema.
AlisemataratibuzinamtakamtuanayetakiwakufikambeleyakamatihiyokupelekewaHatiyakuitwanakwambaalishapelekewa.
AlisemahatahivyoMhe.KubeneaamepelekwaakiwakatikabaiskeliyawagonjwanakuiombaKamatiimpangiesikunyinginenakwambaKamatihiyoimeridhiaombi lake.
“KamatibaadayakumsiklizaMhe. Kubeneaimeridhiaombi lake lakumpangiatarehenyinginekwakumpamudawakuangaliaafyayakempakaatakapopona,”
alisema.
Mhe. MkuchikaaliagizaaMhe.KubeneaapelekwekatikaZahanatiya Bunge iliawezekupewahudumaya kwanza.
AwaliMhe. Kubeneabaadayakuhojiwanakamatikamaatawezakuzungumzakatikakikaohichoaliiombakamatikumpangiasikunyinginekwakuwaasingewezakuzungumzakwawakatiulekutokananakuwakatikamaumivumakali.
Septemba 12,mwakahuu, Mhe. Spika Job NdugaialiagizaMbungehuyokufikambeleyakamatihiyokwakuhojiwakuhusiananatuhumaalizozitoawakatiwaIbadatarehe 10 Septemba, 2017 kwambaMhe. SpikaalisemauongoBungeniwakatiakitangazaidadiyarisasizilizopigwakwenyegari la Mhe.TunduLissu.
Mhe. SpikapiaaliiagizaKamatihiyoMhe.ZittoKabwekufuatiakaulizakealizozitoakwenyemitandaokwambaMhimiliwa Bunge umewekwamfukoninaSerikalinakwamba Bunge lilikoseakushughulikiaTaarifazaKamatikuhusuAlmasina Tanzanite.

No comments