Header Ads

Responsive Ads Here

MGODI WA ACACIA BULYANHULU WA WAAGA WAFANYAKAZI WAKE HUKU WAKIWAJENGEA UWEZO WA KUJIARI KWENYE SEKTA YA UJASIRIAMALI


Lango kuu la kuingilia kwenye Sherehe.Kushoto ni Meneja Ufanisi na Mahusiano BMGL Elias Kasitila (katikati) ni
Meneja Mkuu Mahusiano Serikalini Asa Mwaipopo na Meneja Mkuu BGML
Graham Crew.wakizungumza na waandishi wa habari juu ya hatua ya kuwaaga wafanyakazi na kupunguza baadhi ya shughuli ambazo zilikuwa zikifanyika mgodini Hapo.

Baadhi ya waandishi wa habari wakiendelea na majukumu yao wakati ya kikao na uongozi wa mgodi huo.

Baadhi ya wafanyakazi wakifuatilia shughuli ya sherehe ya kuagwa.

Wafanyakazi wa BGML pamoja na viongozi na Meneja  Mkuu wa mgodi  Graham Crew wakikata keki kwa pamoja kuashiria mshikamano na umoja.

Meneja  Mkuu wa mgodi wa BMGL  Graham Crew Akizungumza na wafanyakazi pamoja na kuwaaga wakati wa sherehe.

Wafanyakazi wakimsikiliza Meneja Mkuu wakati alipokuwa akiwaaga.

Msanii Mrisho Mpoto Akitumbuhiza pamoja na Bendi yake wakati wa sherehe za kwaaga wafanyakazi wa Mgodi huo.


Baadhi ya wasanii wa kundi hilo wakiwa kwenye shughuli hiyo .

Msanii Ismail akiwaburudisha wafanyakazi kwa Wimbo wa Songa songa mbele usirudi Nyuma,.   p    
PICHA NA MADUKA ONLINE

No comments