Header Ads

Responsive Ads Here

MATUKIO KATIKA PICHA ZA UZINDUZI WA ALBUM ZA NAKUOMBEA JIRANI


BJ
Mmiliki wa Studio ya Big D Entertainment na Mlezi wa Kwaya ya Watoto wa Kanisa la African Inland Church(T) la Nzega mjini John Dotto akizundua kanda ya Nyimbo za Mchungani Egon Israel yenye kubeba jina la Nakuombea Jirani.

DOTTO
Mmiliki wa Studio ya Big D Entertainment na Mlezi wa Kwaya ya Watoto wa Kanisa la African Inland Church(T) la Nzega mjini John Dotto (wenye shati ya bluu)akipokea risala kutoka kwa Katibu wa African Inland Church (T) Walwa  Milambo (mwenye shati  nyeusi) zundua kanda ya Nyimbo za Mchungani Egon Israel yenye kubeba jina la Nakuombea Jirani.
waumin
Baadhi ya waumini wa Kanisa la African Inland Church(T) Nzega mjini wakishuhudia sherehe za uzinduzi wa albumu ya Mchungaji Egon Israel jana mjini Nzega.
watot
Kwaya ya Watoto wa Kanisa la African Inland Church(T) la Nzega mjini inayojulikana kwa Wabeloya ikitumbuiza wakati wa uzinduzi wa kanda ya Nyimbo za Mchungani Egon Israel yenye kubeba jina la Nakuombea Jirani jana mjini hapa.
picha Tiganya Vincent.

No comments