Header Ads

Responsive Ads Here

MATUKIO KATIKA PICHA: YALIYOJIRI LEO BUNGENI MJINI DODOMA SEPTEMBA 6,2017


1

Waziri wa Maliasili na Utalii Prof. Jumanne Maghembe akiteta jambo na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe. Mwigulu Nchemba wakati wa kikao cha pili cha Bunge la Nane leo Mjini Dodoma.

2

Mbunge wa Nkasi Kaskazini Mhe. Ally Keissy akiuliza swali wakati wa kikao cha pili cha Bunge la nane leo Mjini Dodoma

3

Naibu Spika wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Tulia Ackson akiongoza kikao cha pili cha Bunge la nane leo Mjini Dodoma.

4

Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Hamis Kigwangala akijibu swali wakati wa kikao cha pili cha Bunge la nane leo Mjini Dodoma.

5

Naibu Waziri Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Annastazia Wambura (kushoto) na Naibu Waziri Ofisi ya Rais-TAMISEMI Mhe. Seleman Jaffo (kulia) wakifuatilia kipindi cha Maswali na Majibu wakati wa kikao cha pili cha Bunge la nane leo Mjini Dodoma.

6

Naibu Waziri Wizara ya Nishati na Madini Mhe. Medard Kalemani akimsikiliza Mbunge wa Tarime Mjini (CHADEMA) Mhe. Ester Matiko wakati wa kikao cha pili cha Bunge la nane leo Mjini Dodoma.

7

Baadhi ya Wabunge wakifuatilia kipindi cha Maswali na Majibu wakati wa kikao cha pili cha Bunge la nane leo Mjini Dodoma.
PICHA NA DAUDI MANONGI-MAELEZO,DODOMA

No comments