Header Ads

Responsive Ads Here

MATUKIO KATIKA PICHA BUNGENI MJINI DODOMA JANA


nz1
Mbunge wa Mtama(CCM) Mhe.Nape Nnauye akizungumza jambo na Mbunge wa Kasulu Mjini Mhe.Daniel Nsanzugwako katika kikao cha nne cha mkutano wa nane wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania jana Mjini Dodoma.

nz2
Naibu Waziri wa Nishati na Madini Mhe.Dk Medard Kalemani akiteta jambo na Naibu Waziri wa Wizara ya Fedha na Mipango Mhe.Dk Ashatu Kijaji katika kikao cha nne cha mkutano wa nane wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo Mjini Dodoma.
nz3
Mbunge wa Mlalo(CCM) Mhe.Rashid Shangazi akiuliza swali katika kikao cha nne cha mkutano wa nane wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo Mjini Dodoma.
nz4
Naibu Waziri wa Wizara ya Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Mhe.Anastazia Wambura akijibu hoja mbalimbali za wabunge katika kikao cha nne cha mkutano wa nane wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo Mjini Dodoma.
nz5
Naibu Waziri wa Wizara ya Kilimo,Mifugo na Uvuvi Mhe.William Ole Nasha akijibu hoja mbalimbali za wabunge katika kikao cha nne cha mkutano wa nane wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo Mjini Dodoma.
nz6
Mbunge wa Newala Mjini Mhe.Capt.George Mkuchika akiuliza swali katika kikao cha nne cha mkutano wa nane wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo Mjini Dodoma.
nz7
Waziri wa Viwanda,Biashara na Uwekezaji Mhe.Charles Mwijage akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika kikao cha nne cha mkutano wa nane wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo Mjini Dodoma.
nz8
Mbunge wa Kuteuliwa(CCM) Mhe.Anne KIlango Malecela akizungumza jambo na Mbunge wa Mtama(CCM) Mhe.Nape Nnauye katika kikao cha nne cha mkutano wa nane wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo Mjini Dodoma.
nz9
Mbunge wa Nzega Mh. Hussein Bashe akizungumza leo Bungeni.
nz10
Mbunge wa Kuteuliwa(CCM) Mhe.Salma Kikwete  akizungumza jambo na Mbunge wa Chalinze(CCM) Mhe.Ridhiwani Kikwete wakati wa kikao cha nne cha mkutano wa nane wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo Mjini Dodoma.
Picha zote na Daudi Manongi,MAELEZO,DODOMA.

No comments