Header Ads

Responsive Ads Here

MASAUNI AFANYA ZIARA WILAYANI RUFIJI, ASIKILIZA KERO ZA WANANCHI


PIX 1
Naibu Waziri Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi,Mhandisi Hamad Masauni, akizungumza katika mkutano wa hadhara wakati wa ziara ya kikazi ikiwa lengo ni kukagua masuala ya Ulinzi na Usalama na kusikiliza maoni na kero za wananchi.Mkutano huo ulifanyika katika Viwanja vya Ikwiriri, wilayani Rufiji,mkoani Pwani

PIX 2
Mbunge wa Jimbo la Rufiji, Mohamed Mchengerwa, akizungumza katika mkutano wa hadhara wakati wa ziara ya kikazi ya Naibu Waziri Wizaraya Mambo ya Ndani ya Nchi,Mhandisi Hamad Masauni(hayupo pichani),ikiwa lengo ni kukagua masuala ya Ulinzi na Usalama na kusikiliza maoni na kero za wananchi.Mkutano huo ulifanyika katika Viwanja vya Ikwiriri, wilayani Rufiji,mkoani Pwani.
PIX 3
Wananchi wakifurahia jambo kwenye mkutano wa hadhara wakati wa ziara ya kikazi ya Naibu Waziri Wizaraya Mambo ya Ndani ya Nchi,Mhandisi Hamad Masauni(hayupopichani), ikiwa lengo ni kukagua masuala ya Ulinzi na Usalama na kusikiliza maoni na kero za wananchi.Mkutano huo ulifanyik akatik aViwanja vya Ikwiriri, wilayani Rufiji,mkoani Pwani
PIX 4
Mwananchi wa Ikwiriri, Juma Salum, akiuliza swali kwa Naibu Waziri Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi,Mhandisi Hamad Masauni(hayupopichani) wakati wa mkutano wa hadhara uliofanyika katika viwanja wa Ikwiriri,wilayani Rufiji,mkoan Pwani
PIX 5
Mwananchi wa Ikwiriri, Fatma Nassoro, akiuliza swali kwa Naibu Waziri Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi,Mhandisi Hamad Masauni(hayupopichani) wakati wa mkutano wa hadhara uliofanyika katika viwanja Ikwiriri,wilayani Rufiji,mkoani Pwani
PIX 6
Naibu Waziri Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi,Mhandisi Hamad Masauni, akiagana na wananchi baada ya kumaliza mkutano wa hadhara,wakati wa ziara ya kikazi ikiwa lengo ni kukagua masuala ya Ulinzi na Usalama na kusikiliza maoni na kero za wananchi.Mkutano huo ulifanyika katika Viwanja vya Ikwiriri, wilayani Rufiji,mkoani Pwani.
Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
IMEANDALIWA NA KITENGO CHA MAWASILIANO SERIKALINI-WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI

No comments