Header Ads

Responsive Ads Here

MANISPAA YA DODOMA YAANZA KUANDAA HATI MILIKI ZA ARDHI ZA MIAKA 99 KWA KASI, BARAZA LA MADIWANI LAPONGEZA


MD HATI
Mkurugenzi wa wa Manispaa ya Dodoma Godwin Kunambi (kulia) ambaye pia ni Katibu wa Baraza la Madiwani la Halmashauri ya Manispaa ya Dodoma Godwin Kunambi akizungumza wakati wa Baraza la Madiwani la Mnispaa hiyo. NA RamadhaniJuma
OFISI YA MKURUGENZI
HALMASHAURI ya Manispaa ya Dodoma imekamilisha uandaaji wa hati 912 za umilik iwa ardhi za miaka 99 kama ilivyoagizwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dokta John Magufuli Mei 15 mwaka huu wakati akitoa tamko la kuivunja iliyokuwa Mamlaka ya Ustawishaji Makao Makuu Dodoma (CDA) na shughuli zote kuhamishiwa katika Manispaa ya Dodoma.
Akizungumzakatikakikao cha dharura cha Baraza la MadiwaniwaHalmashaurihiyokilichopokeataarifarasmiyamakabidhianoyamajukumuyailiyokuwa CDA kuhamiaManispaaya Dodomajana, MkurugenziwaManispaahiyo Godwin KunambialiwaambiaMadiwaninawananchikwaujumlawaliohudhuriaBarazahilokuwa,hatuahiyoimefikiwakatikakipindi cha miezimiwiliyaJulainaAgosti,hukuakiahidikuwa,Manispaahiyoitaendeleakutoahudumahiyonanyinginekwakasiinayoendananamatarajioyawananchi.
Alisemakatiyahatihizo, hati 674 zilizowasilishwakwaKamishnaMsaidiziwaArdhiwaWizarayaArdhizimeshasajiliwanazipotayarikwaajiliyakukabidhiwakwawananchihusika, hukuhati 238 zikiwakatikahatuayakukaguliwailizisainiwe.
Alifafauazaidikuwa, uandaajihuowahatiunaendasambambanautoajiwavibalivyaujenzikwaharaka, ambapomchakatowakutoakibali cha ujenziunakamilishwandaniyasikusabatubaadayamaombikupokelewampakamuombajianakabidhiwakibalichake.
Kufuatiataarifahiyo, wajumbewaBaraza la MadiwaniwakiongozwanaMeyawaManispaaya Dodoma MstahikiProfesa Davis MwamfupewameipongezaMenejimentiyaHalmashaurinawatumishiwotenakuwatakawaendeleenajuhudihizoilipamojana mambo menginekuufanyamjiwaDodoma ukuekwakasikwakuwawezeshawananchinawadauwenginekujenga.

No comments