Header Ads

Responsive Ads Here

MAMA MARY MAJALIWA AHUDHURIA MAHAFALI YA KUMI YA SHULE YA MSINGI YA MARTIN LUTHER YA MJINI DODOMA

1P7A0050
Mke wa Waziri Mkuu, Mama Mary Majaliwa akisalimia katika Mahafali ya Kumi ya Shule ya Msingi ya Martin Luther ya Mjini Dodoma Septembe 2, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) 


1P7A0158
 Mke wa Waziri Mkuu, Mama Mary Majaliwa akisalimia katika Mahafali ya Kumi ya Shule ya Msingi ya Martin Luther ya Mjini Dodoma Septembe 2, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
1P7A0191
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, TAMISEMI- George Simbachawene (katikati) akiteteta na Mkurugenzi wa Shule ya Misingi ya Martin Luther  ya Mjini Dodoma, Rabielly Mmanga (kulia) na Mwalimu Mkuu wa Shule hiyo,  Gilbert Nhuguti (kushoto) katika Mahafali ya Kumi ya Shule hiyo Septemba 2, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
1P7A0251
Mke wa Waziri Mkuu, Mama Mary Majaliwa  (kushoto) na Mdogo wake, Magdalena Komba  (wapili kulia ) wakifurahia baada ya  Mtoto wa Waziri Mkuu, Majaliwa Kassim kuibuka kuwa Mwanafunzi  Bora katika masomo ya Sayansi na kukabidhiwa cheti na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais- TAMISEMI, George Simbachawene (kulia) katika Mahafali ya kumi ya Shule ya Msingi ya Martin Luther ya Mjini Dodoma Septemba 2, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
1P7A0366
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais -TAMISEMI, George Simbachawene akimkabidhi Cheti cha Mwanafunzi Bora wa masomo ya Sayansi, Mtoto wa Waziri Mkuu, Majaliwa Kassim katika Mahafali ya Kumi ya Shule ya Msingi ya Martin Luther ya Mjini Dodoma Septembe 2, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
1P7A0374
Mke wa Waziri Mkuu, Mama Mary  Majaliwa akimkabidhi Mwanae, Majaliwa Kassim maua katika Mahafali ya Kumi ya Shule ya Msingi ya Martin Luther ya Mjini Dodoma Septemba 2, 2017. Mtoto huyo aliibuka kuwa Mwanafunzi Bora wa masoma ya Sayansi na kupewa cheti. Kulia ni Mwalimu Mkuu wa Shule hiyo, Gilbert Nhuguti. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
1P7A0487
Mtoto wa Waziri Mkuu, Majaliwa Kassim  (kulia) akivalishwa shada la maua na dada yake, Zhulekha Majaliwa  baada ya kukabidhiwa Cheti cha kuhitimu darasa la Saba katika Mhafali ya Kumi ya Shule ya Msingi ya Martin Luther ya Mjini Dodoma Septemba 2, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments