Header Ads

Responsive Ads Here

MAKAMU WA RAIS AFUNGUA MKUTANO WA WADAU WA GAS


7
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amefungua mkutano wa siku mbili wa wadau wa Mafuta na Gesi.

5
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa pamoja na Naibu Waziri wa Nishati na Madini Mhe. Dkt. Medard Kalemani wakati wa  mkutano wa siku mbili wa wadau wa Mafuta na Gesi uliofanyika kwenye hotel ya Hyatt Regency jijini Dar es Salaam.
21
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia wakati wa ufunguzi wa mkutano wa siku mbili wa wadau wa Mafuta na Gesi ambapo wadau wa Gesi na Mafuta watapata nafasi ya kujadili Fursa zilizopo. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)

No comments