Header Ads

Responsive Ads Here

MAJALIWA AZINDUA MFUMO WA KUAANDAA MIPANGO NA BAJETI


PMO_9547
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza kabla ya  Kuzindua Mfumo wa Kuandaa Mpango na Bajeti kwa Mamlaka za Serikali za Mitaa na Mfumo wa Uhasibu na Utoaji Taarifa kwenye Vituo vya Kutolea Huduma nchini. Uzinduzi huo ulifanyika kwenye Ukukumbi wa LAPF mjini Dodoma Septemba 5, 2017

PMO_9572
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizindua Mfumo wa Kuandaa Mpango na Bajeti kwa Mamlaka za Serikali za Mitaa na Mfumo wa Uhasibu na Utoaji Taarifa kwenye Vituo vya Kutolea Huduma ulifanyika kwenye Ukukumbi wa LAPF mjini Dodoma Septemba 5, 2017. Kulia kwake ni Waziri wa Nchi,Ofisi ya Rais TAMISEMI, George Simbachawene na kushoto kwake ni Kaimu Balozi wa Mrekani nchini, Bi. Inmi Patterson.Kushoto ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu,  Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama, Wapili kushotoni ni Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Philip Mpango na watatu kushoto kwa Waziri Mkuu, ni Waziri wa Afya , Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu
PMO_9583
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akifurahia baada ya kuzindua Mfumo wa Kuandaa Mpango na Bajeti kwa Mamlaka za Serikali za Mitaa na Mfumo wa Uhasibu na Utoaji Taarifa kwenye Vituo vya Kutolea Huduma ulifanyika kwenye Ukukumbi wa LAPF mjini Dodoma Septemba 5, 2017. Kulia kwake ni Waziri wa Nchi,Ofisi ya Rais TAMISEMI, George Simbachawene na kushoto kwake ni Kaimu Balozi wa Mrekani nchini, Bi. Inmi Patterson.Kushoto ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu,  Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama, Wapili kushoto ni Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Philip Mpango na watatu kushoto kwa Waziri Mkuu, ni Waziri wa Afya , Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu
PMO_9513
Baadhi ya washiriki wa Uzinduzi wa  Mfumo wa Kuandaa Mpango na Bajeti kwa Mamlaka za Serikali za Mitaa na Mfumo wa Uhasibu na Utoaji Taarifa kwenye Vituo vya Kutolea Huduma wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kasim Majaliwa wakati alipozindua  mfumo huo  kwenye Ukukumbi wa LAPF mjini Dodoma Septemba 5, 2017
PMO_9675
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na Watalaam wlioandaa Mfumo wa Kuandaa Mpango na Bajeti kwa Mamlaka za Serikali za Mitaa na Mfumo wa Uhasibu na Utoaji Taarifa kwenye Vituo vya Kutolea Huduma baada ya kuzindua mfumo huo kwenye ukumbi wa LAPF mjini Dodoma Septemba 5, 2017. Kulia kwake ni Waziri wa nchi, Ofisi ya Rais TAMISEMI, Geotge Simbachawene na kushoto kwake ni Kaimu Balozi wa marekani Nchini,  Bi. Inmi Pattersson. Aliyekaa kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Jordan Lugimbana
PMO_9463
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama baada ya kuwasili kwenye ukumbi wa LAPF mjini Dodoma Septemba 5, 2017 Kuzindua Mfumo wa Kuandaa Mpango na Bajeti kwa Mamlaka za Serikali za Mitaa na Mfumo wa Uhasibu na Utoaji Taarifa kwenye Vituo vya Kutolea Huduma . Wapili kulia ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais TAMISEMI, George Simbachawene na wapili kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Jordan Lugimbana
PMO_9485
Kaimu Balozi wa Marekani Nchini, Bi. Inmi Patterson akizungumza  katika Uzinduzi wa  Mfumo wa Kuandaa Mpango na Bajeti kwa Mamlaka za Serikali za Mitaa na Mfumo wa Uhasibu na Utoaji Taarifa kwenye Vituo vya Kutolea Huduma 
uliofanywa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kwenye ukumbi wa LAPF mjin Dodoma Septemba 5, 2017.
PMO_9495
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais TAMISEMI, George Simbachawene akizungumza  katika Uzinduzi wa  Mfumo wa Kuandaa Mpango na Bajeti kwa Mamlaka za Serikali za Mitaa na Mfumo wa Uhasibu na Utoaji Taarifa kwenye Vituo vya Kutolea Huduma 
uliofanywa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kwenye ukumbi wa LAPF mjin Dodoma Septemba 5, 2017.
Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu

No comments