Header Ads

Responsive Ads Here

MAJALIWA AWASILISHA HOTUBA YA KUAHIRISHA BUNGE


PMO_7949
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipongezwa na Wabunge baada ya kuwasilisha hotuba ya kuahirisha Bunge mjini Dodoma Septemba 15, 2017.

PMO_7895
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwasilisha hotuba ya kuahirisha Bunge mjini Dodoma Septemba 15, 2017.
PMO_8032
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiteta na Spika wa Bunge, Job Ndugai  kwenye ukumbi wa Spika baada ya kuwasilisha hotuba ya kuahirisha Bunge mjini Dodoma Septemba 15, 2017.
Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu

No comments