Header Ads

Responsive Ads Here

MAJALIWA ATEMBELEA KWANDA CHA VIGAE CHA TWYFORD CHA CHALINZI MKOANI PWANI


PMO_8697
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiagana na viongozi wa serikeli na Chama Tawala CCM baada ya kutembelea kiwanda  cha vigae cha TWYFORD kilichopo Chalinze mkoani Pwani Septemba 19, 2017. Kushoto ni Mbunge wa Chalinze, Ridhiwani Kikwete

PMO_8650
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua ufungaji mitambo ya kiwanda cha vigae cha TWYFORD kilichopo Chalinze mkoani Pwani Septemba 19, 2017. Kulia kwake ni Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mhandisi Evarest Ndikilo na kushoto  ni Mkurugenzi Mtendaji wa Kiwanda hicho, Bw. Jack Fen.
Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu

No comments