Header Ads

Responsive Ads Here

MAJALIWA AMPA POLE SHEIKH MKUU WA TANZANIA KWA KUFIWA NA KAKA YAKE


PMO_8490
Waziri  Mkuu, Kassim Majaliwa akimsalimia  Sheikh Mkuu wa Tanzania, Mufti Abubacary  bin Zubeiry Ally  wakati alipokwenda  nyumbani kwake Mtaa wa Ufipa Kinondoni jijini Dar es salaam Septemba 19, 2017 kumpa pole kufuatia kifo cha kaka yake Saad Zubeiry Ally kilichotokea kwee hospitaal ya taifa ya Muhimbili Septemba 18, 2017.

PMO_8508
Waziri  Mkuu, Kassim Majliwa akizungumz  na   Sheikh Mkuu wa Tanzani, Mufti Abubacary  Zubeiry  bin Ally  wakati alipokwenda  nyumbani kwake Mtaa wa Ufipa Kinondoni jijini Dar es salaam Septemba 19, 2017 kumpa pole kufuatia kifo cha kaka yake Saad Zubeiry Ally kilichotokea kwenye hospitali ya taifa ya Muhimbili Septemba 18, 2017. Kushoto ni Kadhi Mkuu wa Tanzania , Sheikh Abadallah Mnyasi
PMO_8494
Waziri  Mkuu, Kassim Majliwa akizungumza na   Sheikh Mkuu wa Tanzania, Mufti Abubacary   Zubeiry bin  Ally  wakati alipokwenda  nyumbani kwake Mtaa wa Ufipa Kinondoni jijini Dar es salaam Septemba 19, 2017 kumpa pole kufuatia kifo cha kaka yake Saad Zubeiry Ally kilichotokea kwee hospitaal ya taifa ya Muhimbili Septemba 18, 2017.
Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu

No comments