Header Ads

Responsive Ads Here

LIGI YA MABINGWA BARANI ULAYA IMEREJEA NA SURA MPYA,BARCELONA KULIPA KISASI KWA JUVENTUS LEO?


 
Ligi ya Mabingwa Ulaya imerejea, sasa ni msimu wa 2017/18, vigogo wote watakuwa uwanjani leo na kesho, beki wa PSG, Thiago Silva ameenda mbele zaidi kwa kusema presha ni kubwa kikosini kwao kutokana na usajili uliofanyika.

Silva anasema ujio wa Neymar na Kylian Mbappe utawafanya wawe na presha kubwa kwa kuwa watu wengi watahitaji mambo makubwa kutoka kwenye timu yao ambao inatarajiwa kukipiga dhidi ya Celtic katika michuano hiyo.
PSG ipo nchini Scotland kwa ajili ya mchezo huo, ambapo wababe hao wa Ufaransa, Paris Saint-Germain watakuwa na nia moja tu ya kupata ushindi kwa kuwa mastaa waliosajiliwa ni w agharama kubwa.

“Tumeshasahau yaliyopita katika msimu uliopita, tumejiandaa vizuri kwa ajili ya mchezo huu na muhimu ni kupata paointi tatu,” alisema beki huyo wa kati.
Jose Mourinho speaks to the media during a press conference on Monday morning
Marouane Fellaini (centre) and his United team-mates train ahead of Wednesday's clash
Wachezaji wa timu ya Manchester United wakifanya mazoezi ya mwisho kabla ya kushuka dimbani na wageni Basel.
Chelsea make their return to the Champions League after missing out last season
Eden Hazard enjoys a laugh during training on Monday at Chelsea's Cobham training base
Hazard will be hoping to get more minutes under his belt after recovering from an ankle injury
Ratiba ya michezo ya leo Jumanne ambayo yote itaanza saa 3:45 Usiku ni hii hapa
Celtic v PSG 
Benfica v CSKA 
Manchester United v Basel
Olympiakos Piraeus v Sporting CP
Bayern München v Anderlecht
Chelsea v Qarabağ 
Roma v Atlético Madrid 
Barcelona v Juventus
Ratiba ya kesho Jumatano
Maribor v Spartak 
Tottenham v Borussia Dortmund
RB Leipzig v Monaco
Feyenoord v Manchester City
Shakhtar v Napoli 
Real Madrid v APOEL 
Liverpool v Sevilla Anfield
Porto v Beşiktaş

No comments