Header Ads

Responsive Ads Here

KATIBU MKUU WA WIZARA YA AFYA NA MAENDELEO YA JAMII,BI.SIHABA NKINGA AFUNGUA MKUTANO WA REPSSI JIJINI ARUSHA

 

Katibu
Mkuu wa Wizara ya Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wanawake na Watoto,Bi
Sihaba Nkinga akizungumza katika mkutano wa kimataifa wa watoto
ulioandaliwa na taasisi ya REPSSI yenye makao yake nchini Afrika Kusini
kutoka mataifa zaidi ya 30 barani Afrika unaofanyika jijini
Arusha,mkutano huo pamoja na mambo mengine unalenga kuwawezesha  watoto
sauti zao kusikika na kuwajenga kisaikolojia.

Afisa
Mtendaji Mkuu wa taasisi ya REPSSI,Noreen Huni ambaye ni raia wa
Zimbabwe akizungumza katika mkutano huo wa kimataifa jijini Arusha leo.

Watoto kutoka mataifa mbalimbali wakifatilia mada kwenye mkutano huo.

Watoto
kutoka mataifa mbalimbali wakiwa kwenye mkutano  ambao unawapa fursa ya
kuwasilisha taarifa za matukio ambayo ni changamoto kwao.

Watoto wakiwa kwenye mkutano ambao unawapa fursa ya kuwasilisha taarifa za matukio ambayo ni
changamoto kwa mamlaka husika na kutafutiwa ufumbuzi.

Katibu
Mkuu wa Wizara ya Afya,Maendeleo ya
Jamii,Jinsia,Wanawake na Watoto,Bi Sihaba Nkinga(katikati) akiwa katika
picha ya pamoja na Mwenyekiti wa baraza la watoto nchini,Joel
Festo(kushoto) na 
Mwenyekiti wa baraza la watoto nchini Kenya,Brian Musyoka  katika
mkutano wa kimataifa wa watoto ulioandaliwa na taasisi ya REPSSI yenye
makao yake nchini Afrika Kusini .

Mmoja wa washiriki akifatilia kwa makini.

Katibu
Mkuu wa Wizara ya Afya,Maendeleo ya
Jamii,Jinsia,Wanawake na Watoto,Bi Sihaba Nkinga(katikati)akiagana na
viongozi wa watoto mara baada ya kufungua mkutano huo jijini Arusha.

No comments