Header Ads

Responsive Ads Here

KAMISHNA WA FEDHA NA UTAWALA GHASTON K. SANAGA APOKEA VIFAA VYA KUHIFADHIA TAKATAKA KUTOKA KWA TAASISI YA MIKOPO YA FAIDIKA


pix no. 1
KAMISHNA WA FEDHA NA UTAWA WA JESHI LA MAGEREZA GHASTON K. SANGA AKIPOKEA BAADHI YA VIFAA VYA KUHIFADHIA TAKATAKA KUTOKA KWA MKURUGENZI WA HUDUMA ZA WATEJA WA FAIDIKA BW. MBUSO DLIMIN ALIPO TEMBELEA OFISI ZA MAKAO MAKUU YA MAGEREZA.

pix. 2
KAMISHNA WA FEDHA NA UTAWALA WA JESHI LA MAGEREZA GHASTAN K. SANGA AKIWASHUKURU TAASISI YA MUKOPO YA FAIDIKA KWA KULIUNGA MKONO JESHI LA MAGEREZA  KWA KUTUZA MAZINGIRA  AMBAPO FAIDIKA IMETOA MSAA WA VIFAA VYA KUDIFADHIA TAKATAKA.
pix 3pix 4
BAADHI YA MAAFISA WA MAGEREZA WAKIANGALIA KWA MAKINI MAKABIDIANO YA VIFAA VYA KUHIFADHIA TAKATAKA VILIVYO TOLEWA NA TAASISI YA MIKOPO YA FAIDIKA.
pix 5
KAMISHNA WA FEDHA NA UTAWALA WA JESHI LA MAGEREZA AKIWA NA BAADI YA MAAFISA WA MAGEREZA NA MAAFISA WA TAASISI YA MIKOPO YA FAIDIKA NA LETSHEGO WALIPOKUJA MAKAO MAKUU YA MAGEREZA KUTOA MSAADA WA VIFAA VYA KUHIFADHIA TAKATAKA.

No comments