Header Ads

Responsive Ads Here

JESHI LA WANANCHI LAANZA KUTEKELEZA AGIZO LA RAIS MAGUFULI MERERANI


1
Jeshi la Ulinzi la Wananchi Tanzania JWTZ laanza kutekeleza agizo la Mhe. Rais Dkt. John Pombe Magufuli. aliloagiza kujengwa kwa ukuta na kuweka kamera katika eneo linalopatikana madini ya Tanzanite huko Mererani  Meja Jenerali Michael Isamuyo ametua Mererani, Wilaya ya Simanjiro Mkoani Manyara kwa helkopta na kukagua maeneo ambayo ukuta utaanza kujengwa mara moja. Wachimbaji na wananchi wa Manyara wamefurahia na kuahidi ushirikiano

23

No comments