Header Ads

Responsive Ads Here

JESHI LA MAGEREZA LAKABIDHI CHETI KWA GAZETI LA MTANZANIA KUTAMBUA MCHANGO WAKE WA KUTANGAZA SHUGHULI ZA MAGEREZA


1
Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza Nchini Dk. Juma Ally Malewa wa kwanza kushoto akimkabidhi Mhariri Mkuu wa Gazeti la Mtanzania Bw. Kulwa Karedia Cheti cha Kutambua Mchango wa Gazeti la MTANZANIA katika kutangaza shughuli za Maendeleo  za Jeshi la Magereza Nchini hususani mchango wa Jeshi hilo katika Uchumi wa Viwanda. Makabidhiano hayo yamefanyika katika Ofisi za Makao Makuu ya Jeshi la Magereza Jijini Dar es Salaam.

2
Mhariri Mkuu wa Gazeti la MTANZANIA Bw. Kulwa Karedia akimshukuru Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza Nchini Dk. Juma Ally Malewa wa kwanza kushoto baada ya kukabidhiwa  Cheti cha Kutambua Mchango wa Gazeti la MTANZANIA katika kutangaza shughuli za Maendeleo  za Jeshi la Magereza Nchini hususani mchango wa Jeshi hilo katika Uchumi wa Viwanda. Makabidhiano hayo yamefanyika katika Ofisi za Makao Makuu ya Jeshi la Magereza Jijini Dar es Salaam.
Picha na Kitengo cha Mawasiliano ya Serikali WMNN.)
Imetolewa na
Kitengo cha Mawasiliano ya Serikali
Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi

No comments