Header Ads

Responsive Ads Here

IGP SIRRO- NCHINI UGANDA kushiriki Mkutano wa 19 wa Shirikisho la Wakuu wa Majeshi ya Polisi ya Nchi za Mashariki


1
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP) Simon Sirro, yupo Kampala nchini Uganda, kushiriki Mkutano wa 19 wa Shirikisho la Wakuu wa Majeshi ya Polisi ya Nchi za Mashariki  (EAPCCO) ulioanza 13-15 Septemba 2017 ukiwa na malengo ya kujadiliana kwa pamoja namna ya kupambana na uhalifu unaovuka mipaka (Cross Border Organized Crimes) na kubadilishana uzoefu wa kiutendaji pamoja na kuimarisha Ushirikiano miongoni mwa Majeshi ya Polisi. Picha na Jeshi la Polisi Tanzania.

2 (2)
Baadhi ya washiriki wa Mkutano wa 19 wa Shirikisho la Wakuu wa Majeshi ya Polisi ya Nchi za Mashariki  (EAPCCO) unaofanyika Kampala nchini Uganda, wakifuatilia mada inayowasilishwa mbele yao katika mkuatano ulioanza 13-15 Septemba 2017 ukiwa na malengo ya kujadiliana kwa pamoja namna ya kupambana na uhalifu unaovuka mipaka (Cross Border Organized Crimes) na kubadilishana uzoefu wa kiutendaji pamoja na kuimarisha Ushirikiano miongoni mwa Majeshi ya Polisi, katika mkuatano huo yupo pia Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP) Simon Sirro. Picha na Jeshi la Polisi Tanzania.
2

No comments