Header Ads

Responsive Ads Here

IGP SIRRO AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA MA IGP NA MAKAMISHNA WA POLISI WASTAAFU


1 (2)
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP) Simon Sirro (wapili kulia), akizungumza na Ma IGP wastaafu na makamishna wastaafu na waliopo kazini (hawapo pichani) wakati alipokutana nao leo jijini Dar es salaam ikiwa ni mpango wa kubadilishana uzoefu wa kikazi pamoja na kupeana mbinu na mikakati ya kukabiliana na matishio mbalimbali ya uhalifu na wahalifu pamoja na mikakati ya kuboresha utendaji wa Jeshi hilo, kulia ni IGP mstaafu Said Mwema, wa kwanza kushoto ni IGP msataafu Ernest Mangu na IGP mstaafu Omari Mahita.

2
Kamishna wa Utawala ndani ya Jeshi la Polisi DCP Leonard Paul (aliyesimama), akiwasilisha mada mbele ya Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP) Simon Sirro na ma IGP wastaafu na Makamishna wastaafu wa Jeshi hilo na waliopo kazini, kwenye kikazo kazi kilichoandaliwa na Mkuu wa Jeshi hilo kwa lengo la kubadilishana uzoefu, kupeana mbinu na mikakati ya kukabiliana na matishio mbalimbali ya uhalifu na wahalifu  pamoja na mikakati ya kuboresha utendaji wa Jeshi hilo leo jijini Dar es salaam.
3
Mkuu wa Jeshi la Polisi Mstaafu (IGP) Ernest Mangu (kushoto), akizungumza mbele ya makamishna wastaafu na waliopo kazini (hawapo pichani), kwenye kikazo kazi kilichoandaliwa na Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP) Simon Sirro (wapili kulia) kwa lengo la kubadilishana uzoefu na kupeana mbinu na mikakati ya kukabiliana na matishio mbalimbali ya uhalifu na wahalifu pamoja na mikakati ya kuboresha utendaji wa Jeshi hilo leo jijini Dar es salaam, kutoka kulia ni IGP msataafu Said Mwema na wapili kulia ni IGP msataafu Omari Mahita.
4
Ma IGP na Makamishna wa Polisi wastaafu na waliopo kazini wakimsikiliza Mkuu wa Jeshi hilo (IGP) Simon Sirro, wakati alipokutananao leo jijini Dar es salaam ikiwa ni mpango wa kubadilishana uzoefu wa kikazi pamoja na kupeana mbinu na mikakati ya kukabiliana na matishio mbalimbali ya uhalifu na wahalifu pamoja na mikakati ya kuboresha utendaji wa Jeshi hilo
5
Mkuu wa Jeshi la Polisi Mstaafu (IGP) Omari Mahita (wapili kushoto), akizungumza mbele ya makamishna wastaafu na waliopo kazini (hawapo pichani), kwenye kikazo kazi kilichoandaliwa na Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP) Simon Sirro (wapili kulia) kwa lengo la kubadilishana uzoefu na kupeana mbinu na mikakati ya kukabiliana na matishio mbalimbali ya uhalifu na wahalifu pamoja na mikakati ya kuboresha utendaji wa Jeshi hilo leo jijini Dar es salaam, kutoka kulia ni IGP msataafu Said Mwema na kushoto ni Mkuu wa Jeshi la Polisi Mstaafu (IGP) Ernest Mangu.
6
Mkuu wa Jeshi la Polisi Mstaafu (IGP) Said Mwema (wa kwanza Kulia), akizungumza mbele ya makamishna wastaafu na waliopo kazini (hawapo pichani), kwenye kikazo kazi kilichoandaliwa na Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP) Simon Sirro (wapili kulia) kwa lengo la kubadilishana uzoefu na kupeana mbinu na mikakati ya kukabiliana na matishio mbalimbali ya uhalifu na wahalifu pamoja na mikakati ya kuboresha utendaji wa Jeshi hilo leo jijini Dar es salaam kutoka kushoto ni IGP mstaafu Ernest Mangu na anayefuata ni IGP msataafu Omari Mahita. Picha na Jeshi la Polisi.

No comments