Header Ads

Responsive Ads Here

HALI YA TUNDU LISSU KWA SASA

BMG Habari, Pamoja Daima!
Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema kimezungumzia tukio la kupigwa risasi kwa mwanasheria wake ambaye pia ni Rais wa Chama cha Mawakili Tanganyika TLS, Mhe.Tundu Lissu.

Mhe.Lissu ambaye pia ni mbunge wa jimbo la Singida Mashariki mkoani Singida alipigwa risasi jana mchana nyumbani kwake mkoani Dodoma, muda mfupi baada ya kutoka kwenye vikao vya bunge vinavyoendelea Dodoma.
Alipatiwa huduma ya kwanza mkoani Dodoma na jioni kusafirishwa kwa kwenda hadi Mjini Nairobi nchini Kenya kwa matibabu zaidi, na taarifa zinaeleza kwamba hali yake inaendelea vyema.
Tazama video hapo chini 
Video na Global Tv Online

No comments