Header Ads

Responsive Ads Here

GIFT MACHA ATEULIWA NA TFF KUWA MJUMBE WA KAMATI YA TUZO ZA LIGI KUU YA VODACOM TANZANIA BARA


21317510_1438794019541217_2827903029476951898_n
Rais wa TFF, Wallace Karia ameteua Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu Bara ambayo itakuwa inachagua wachezaji bora wa mwezi, bao bora, mwamuzi bora, kocha, kipa bora na mchezaji bora wa msimu. 

MWENYEKITI 
Msafiri Mgoyi 
MAKAMU MWENYEKITI
– Almas Kasongo  
 KATIBU MKUU 
-Amiri Mhando
WAJUMBE 
Saleh Ally
Patrick Kahemele
Kenny Mwaisabula
Ibrahim Masoud 
Fatma Likwata
Gift Macha
Said George 
Zena Chande

No comments