Header Ads

Responsive Ads Here

ENG.IYOMBE SERIKALI ITATEKELEZA MAAZIMIO YOTE YALIYOPITISHWA KWENYE MKUTANO WA MWAKA WA WADAU WA ELIMU


1
Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhandisi Mussa Iyombe akitoa hotuba wakati akifunga kikao cha pamoja kati ya Wadau wa Elimu, Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia na Ofisi ya Rais TAMISEMI katika ukumbi wa Hazina mjini Dodoma leo.

3
Kaimu Katibu Mkuu Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Sylvia Temu akitoa maelezo ya awali kuhusu kikao cha Wadau kabla ya kumkaribisha Mgeni Rasmi ambaye ni Katibu Mkuu OR TAMISEMI wakati wa kufunga kikao cha Wadau wa Elimu, Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia na Ofisi ya Rais TAMISEMI katika ukumbi wa Hazina mjini Dodoma leo

4
Kaimu Katibu Mkuu Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Sylvia Temu akitoa maelezo ya awali kuhusu kikao cha Wadau kabla ya kumkaribisha Mgeni Rasmi ambaye ni Katibu Mkuu OR TAMISEMI wakati wa kufunga kikao cha Wadau wa Elimu, Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia na Ofisi ya Rais TAMISEMI katika ukumbi wa Hazina mjini Dodoma leo
5
Mwakilishi wa Wadau wote wa Maendeleo nchini Tanzania (toka Uingereza – DfID) Bi.Janeth Tanya akitoa maelezo mafupi kwa niaba ya Wadau kabla ya ufungaji wa kikao kati ya  Wadau wa Elimu, Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia na Ofisi ya Rais TAMISEMI katika ukumbi wa Hazina mjini Dodoma leo
6
Mwakilishi wa Wanafunzi, Mwanafunzi wa Shule ya Msingi Uhuru Dodoma Manispaa darasa la sita Sylvester Allen akipeana mikono na Mgeni Rasmi wakati wa ufunguji wa kikao kati ya  Wadau wa Elimu, Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia na Ofisi ya Rais TAMISEMI katika ukumbi wa Hazina mjini Dodoma leo
7
Baadhi ya Washiriki walioshiriki kikao cha kikao cha Wadau wa Elimu, Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia na Ofisi ya Rais TAMISEMI katika ukumbi wa Hazina mjini Dodoma leo
………………………..
Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Eng. Musa Iyombe amesema Serikali itahakikisha inatekeleza maazimio yote yaliyopitishwa kwenye Mkutano wa pamoja wa mwaka wa wadau wa Elimu uliofanyika kwa siku nne Mjini  Dodoma.
Eng. IyombeameyasemahayowakatiwakufungaMkutanowamwakawawadauwaElimuwenyelengo la kujadilichangamoto, mafanikioyaElimunakuonanamnaganikamawadauwanawezakutafutanjiayapamojayakuboreshaMfumowautoajiwaElimu Tanzania.
“NimepokeamaazimioyoteyaMkutanohuunantayawasilishapanopohuiskakwaajiliyaUtekelezajilakini pia niwapongezekwakazikubwamliofanya, kuanziawataalamukutokaSerikalini, sektabinafsi, Mashirikayasiyoyakiserikali, wadauwaElimuhakikammefanyakazikubwanakupitiaMkutanohuututaonamabadilikomakubwakatikaSektahiiyaElimu” alisemaIyombe.
AkitoasalamuzaWizaraKaimuKatibuMkuuwaWizarayaElimuSayansinaTeknolojia Prof syliviaTemuamesemaKikaokimekuwanatijakwakuwapamojana mambo menginekimejadilimasualayanayotokananautafitiwaelimunakwambamatokeoyatafitiyaliyoonyeshachangamotoyatafanyiwakazikwapamojakatiyaserikali, wadauwamaendeleonamashirikayasiyoyaserikali.

No comments